Mwanadada wa Nyimbo za Injili Neema Kiumba anatarajia kuachilia Extended Playlist inayokwenda kwa jina la "Neema Yako" tarehe 1 julai 2025, kupitia kurasa za Meneja wake kadokeza ujio huo mpaka sasa hatujapata List Ya nyimbo zilizopo kwenye hiyo Ep , Hivyo bhasi amiwataka mashabiki na wadau waendelee kufuatilia kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii yaani Instagram @neema_kiumba Tiktok @neemakiumba na kurasa za meneja @shaytzblog kote  

Post a Comment

Previous Post Next Post